The House of Favourite Newspapers

Kutana na Teacher Allen, Mwalimu Aliyemfundisha Diamond Kuongea Kiingereza

0

Haina ubishi kwamba kwa sasa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Juma almaarufu Diamond Platnumz anatema ung’eng’e safi kabisa tofauti na kipindi wakati anaanza muziki.

Lakini je, unajua ni nani aliyepo nyuma yake? Mwamba huyu hapa! Anaitwa Mwalimu Allen ambaye ndiye aliyempika Simba mpaka akaiva kiasi cha kuwa na uwezo wa kuzungumza Kiingereza vizuri bila kubabaika.

Global TV imepiga naye stori ambapo amefunguka mambo kibao kuhusu maisha yake na kazi yake.

 

Leave A Reply