Kwasi anukia Biashara United

KAMA mlidhani Asante Kwasi amechuja, ngoja ishu yake na Biashara itiki asaini mkataba wa Kocha Amri Said. Kwasi ni kati ya wachezaji ambao mikataba yao ilimalizika ya kuichezea simba. Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata spoti Xtra, Kwasi yuko kwenye hatua nzuri na Biashara United.

 

“Uongozi umepania kukifanyia marekebisho kikosi chake na katika hilo umepanga kuwasajili wachezaji wenye uzoefu wa kucheza mechi za ligi na kati ya wachezaji hao yupo Kwasi,” alisema mtoa taarifa ndani ya uongozi wa Biashara.

Toa comment