The House of Favourite Newspapers

Lindi: Babu Atupwa Jela Miaka 20 kwa Kumdhalilisha Mtoto Kingono

0


Ustadhi Selemani Ally (58) amehukumiwa mika 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumdhalilisha kingono Mtoto wa miaka 12.

 

Mshitakiwa aliulizwa kama anazo sababu zitakazoishawishi Mahakama isimpe adhabu kali kwa kosa linalomkabili, ambapo aliomba asipewe adhabu kali na hatarudia tena kutenda kosa hilo.

 

Aidha, atakapomaliza kifungo ametakiwa amlipe mlalamikaji fidia ya Tsh. 600,000.

Leave A Reply