The House of Favourite Newspapers

Lisa Jensen Akiri Kupukutika!

0

MISS Tanzania namba tatu mwaka 2006, Lisa Jensen ‘The Unique’ amekiri kufubaa na kupungukiwa na urembo wake uliotingisha miaka mitano iliyopita huku akitaja sababu zikiwa ni majukumu ya ndoa na malezi ya familia.

Akichonga na Star Mix baada ya kunaswa na paparazi wetu akiwa amepungua hivi karibuni pande za Msasani jijini Dar alipokuwa ameongozana na mawifi zake katika mtoko wa kawaida, Lisa alisema;

 

 

“Ujue kwa sasa nimekua, majukumu nayo ni mengi si unajua tena mambo ya ndoa, malezi kwa mtoto na maisha nayo yanahitaji ubize mwingi, siyo siri urembo na uzuri wangu wote umefifia , nadhani unanijua vyema nilivyokuwa nakimbiza, acha tuzeeke na kuwaachia wengine bwana.”

 

Waziri Mwigulu Nchemba Kuhusu Waharifu wa Kibiti

Leave A Reply