The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Bifu La Mama Mondi Na Mobeto Ukweli Wa Mambo Ni Huu

0

‘HOTOPOT’ ni kipindi kipya cha GLOBAL RADIO, kinachochambua na kudadavua mambo mbalimbali ya udaku yanayaoendelea mitandaoni na kutrendi.

BAADA ya mwanamitindo Hamisa Mobeto naye kumpeleka mwanaye, Abdul Nasibu ‘Dyllan’ kwa baba yake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mapya yameibuka.

Kitendo hicho kimefukua makaburi ya lile bifu kati ya Mobeto na mama mzazi wa Diamond au Mondi, Sanura Kassim ‘Mama Dangote’.

Inasemekana kwamba, Mama Dangote hakufurahishwa na kitendo hicho kwa sababu hakuwahi kumkubali Mobeto tangu zamani.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply