The House of Favourite Newspapers

DIAMOND, Star Times Waungana Kuipaisha WASAFI TV – Video

Msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni mmiliki wa kituo cha runinga cha Wasafi TV, Diamond Platnumz, ametangaza rasmi kuwa kituo hicho kitaanza kurusha matangazo yake kupitia kinga’muzi cha Star Times.

 

Diamond ameyasema hayo leo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Slip Way uliopo Masaki jijini Dar es Salaam.

Comments are closed.