The House of Favourite Newspapers

Video: Mwili Wa Mzee Matata Wa Mizengwe Wazikwa Dar

0

MAZIKO ya Mwigizaji wa Kikundi cha Maigizo cha Kashkashi kinachorusha mchezo wao wa kuchekesha wa Mizengwe kupitia Televisheni ya ITV, Jumanne Alela almaarufu Mzee Matata yamefanyika leo Juni 17, 2021 Buguruni jijini Dar es Salaam

Alifariki dunia usiku wa kuamkia Juni 16, 2021 Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar alipokuwa amelazwa kwa matibabu toka Juni 13, 2021.

Leave A Reply