LIVE: Walichokisema Katambi, Kafulila, Msando…Mkutano UVCCM Dom
Patrobas Katambi: Wale walioongoza mapambano dhidi ya Ufisadi (Zitto, Dkt. Slaa, Kafulila etc) hawapo tena CHADEMA. Wale waliokuwa wakituhumiwa kwa ufisadi ndo wamehamia CHADEMA!
— Global Publishers (@GlobalHabari) December 10, 2017
Patrobas Katambi: Hivi, viongozi wa upinzani wakipewa nchi nani wanaweza kuunda serikali? Kama wanashindwa kusimamia bajeti ya msiba, wataweza kusimamia bajeti ya Taifa?
— Global Publishers (@GlobalHabari) December 10, 2017
Patrobas Katambi: Tusiruhusu watu wengine kutumia nafasi nyingine za kidemokrasia kuvuruga amani ya nchi yetu. Nilipokuwa CHADEMA, niligundua yaliyokuwa CCM ya zamani yamehamia CHADEMA! pic.twitter.com/UXOqXxLpg5
— Global Publishers (@GlobalHabari) December 10, 2017
Moses Machali: Siasa zimehamia mitandaoni. CCM tulikuwa tumelala, nashauri tuamke! Vyombo vya Habari vinaweza kufanya mazuri kuonekana mabaya na mabaya kuonekana mazuri – Twende mitandaoni tukapambane na wapinzani wetu!https://t.co/nqcgOikVYg pic.twitter.com/MiZbn092NK
— Global Publishers (@GlobalHabari) December 10, 2017
#UVCCMTAIFA @AlbertMsando: Ni wajibu wa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM kuchagua viongozi walio wasafi na wachukia ufisadi na rushwa. Msichague mtu sababu mnatoka ukanda mmoja! https://t.co/nqcgOikVYg pic.twitter.com/uweGLL7pzy
— Global Publishers (@GlobalHabari) December 10, 2017
#UVCCM David Kafulila: Nilipokuwa Bungeni nikataja baadhi ya wabunge wala rushwa nikaambiwa “humu huwa hatutajani”. Nikauliza, sisi kazi yetu ni kushambulia serikali tu?

Albert Msando: Tujenge UVCCM inayoweza kujibu hoja kwa hoja. Nimeona mmeandika kuwa kuna wanachama wa UVCCM milioni 6; lakini idadi iliyoandikwa kwenye kitabu kingine mnaonyesha ni wanachama 1,547,000! Tusimdanganye Rais..
— Global Publishers (@GlobalHabari) December 10, 2017
Comments are closed.