Ibada ya Kuaga Mwili wa Akwilina Chuo cha NIT

MWILI wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT), Akwilina Akwilini umefanyiwa ibada ya kuagwa katika chuo hicho na baadaye utapelekwa nyumbani kwao Rombo kwa ajiri ya maziko.

 

Akwilina alifariki dunia Februari 16, 2018 baada ya kupigwa risasi kichwani akiwa kwenye daladala wakati polisi wakiwatawanya waandamanaji ambao ni wafuasi wa Chadema.

 

 

 

PICHA NA RICHARD BUKOS | GPL


Loading...

Toa comment