The House of Favourite Newspapers

LIVE BUNGENI: Maswali ya Papo kwa Hapo kwa Waziri Mkuu

Kikao cha 21, mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimeanza leo Mei 3, 2018, asubuhi, Bungeni Jijini Dodoma, kikiongozwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai ambapo leo wameanza na maswali kwa Waziri Mkuu Bungeni.

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewataka wafanyabiashara wote nchini wasioridhika na maamuzi ya kitengo cha kusikiliza malalamiko cha Mamlaka ya Mapato nchini TRA kwenda Wizara ya Fedha ili kutafuta ufumbuzi wa matatizo yao.

“Niwatoe mashaka watanzania na hasa waislamu kama ambavyo Mhe. Bulembo amesema kwamba sukari itapatikana kipindi chote cha ramadhani,”- alisema Majaliwa.

Comments are closed.