LIVE KUTOKEA UWANJA WA TAIFA MASHINDANO YA QU AN TUKUFU


MASHINDANO makubwa ya Qur-aan Tukufu yanafanyika Leo Jumapili ,Mei 19, katika Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo washiriki kutoka nchi 20 barani Afrika wanachuana kuwania taji la mshindi wa kuhifadhi Quraan.

 

Mashindano hayo yameandaliwa na Taasisi ya Al-Hikma chini ya Sheikh Nurdeen Kishk…. Vijana kutoka Tanzania wanaoshiriki katika mashindano hayo ni Shamsuddin Hussein Ali (20), Mohammad Faiz Lardhi (19) na binti pekee Sumayya Juma Abdalah (12) ambaye anatokea Mkoa wa Pwani.

Loading...

Toa comment