The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Maduka Yateketea Kwa Moto Mkubwa Kigamboni

0

TUKIO la ajali mbaya ya moto ulioteketeza maduka usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Kigamboni, Dar es Salaam limeacha simanzi, hasara na taharuki kubwa kwa wamiliki wa maduka hayo pamoja na mmiliki wa jengo hilo.

Global TV Online imefanya jitihada za dhati kufika eneo la tukio na kumtafuta mmiliki wa jengo hilo ambaye amefunguka mengi na kuelezea namna ambavyo moto huo uliteketeza maduka yote.

Akizungumza na Global TV Online, msimamizi wa jengo hilo Nassoro Ally alisema kuwa moto huo ulianzia kama moshi kwenye frame ya mbele ambako kuna duka la nafaka.

FUATILIA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Leave A Reply