The House of Favourite Newspapers

Live: Manara Anatoa Tamko Rasmi Kuhusu Hukumu Yake, Atangaza Maamuzi Magumu Mbele ya Wanahabari-Video

0

KWA mara ya kwanza afisa muhamasishaji wa Yanga, Haji Manara, amefunguka mbele ya wanahabari kuhusiana na hukumu yake ya kufungiwa miaka 2 kujihusisha na soka sambamba na faini ya milioni 20.

Leave A Reply