The House of Favourite Newspapers

LIVE: MSAFARA WA RUGE KUELEKEA KARIMJEE POSTA – VIDEO

Mwili wa Aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba, unatolewa muda huu katika Hospitali ya Lugalo na kupelekwa moja kwa moja katika ukumbi wa Karimjee uliopo Posta jijini Dar kwa ajili ya kutolewa heshima za mwisho na baada ya hapo utasafirishwa kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya kuagwa tena katika viwanja vya Gymkhana na kupumzishwa katika nyumba yake ya milele siku ya Jumatatu Machi 04, 2019.

Comments are closed.