The House of Favourite Newspapers

LIVE: Mwili wa Mngereza (BASATA) Waagwa Dar

0

 

MWILI wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza, umewasili jijini Dar es Salaam leo Desemba 28, 2020 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kisha kupelekwa nyumbani kwake Kibamba Luguruni.

 

Mwili wa marehemu unafanyiwa ibada na kuagwa leo hii hii hapo nyumbani kwake na kesho Jumanne utaagwa tena katika Ukumbi wa Karimjee na mazishi yatafanyika Desemba 30, 2020, kijijini kwao Suji wilayani Same mkoani Kilimanjaro.

 

Leave A Reply