The House of Favourite Newspapers

JPM Achangia Mil. 6 Sekondari Ya Wasichana Mpanda – Video

RAIS John Magufuli leo,  Ijumaa, Oktoba 11, 2019, akiendelea na ziara yake mkoani Katavi ametoa shilingi milioni sita kwa Shule ya Sekondari ya Wasichana Mpanda kwa ajili ya kutatua changamoto ya maji na madawati shuleni hapo.

Akiongea na wanafunzi hao amesema: “Nimewachangia milioni sita kwa ajili ya shule yenu, nawasihi jiepusheni na ngono zembe, jiepusheni na ngono kwa ujumla, siku moja nikija niwakute wote mmemaliza na mkawe mawaziri wa kesho, tunakuwa na uchungu tunapotoa elimu bure na wewe unakwenda kutoa bure kwa majamaa!”

Comments are closed.