The House of Favourite Newspapers

JPM Azindua Ujenzi wa Barabara, Ghala Ruangwa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumann, Oktoba 15, 2019 amezindua Barabara ya Lami Kitandi – Ruangwa yenye Urefu wa kilomita na kuwashukuru wananchi wa Ruangwa kwa kumchagua Mbunge wa Jimbo hilo Kassim Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu.

Comments are closed.