The House of Favourite Newspapers

Rais MAGUFULI Akutana na Prof MWANDOSYA Uso kwa Uso

 

Rais Dr.John Pombe Magufuli amezindua barabara katika eneo la Busokole yenye urefu wa Kilomita 10 ambapo pamoja na mambo mengine amekutana na Waziri wa zamani wa Ujenzi, Profesa Mark Mwandosya ambaye ni muasisi wa ujenzi wa barabara hiyo.

Comments are closed.