The House of Favourite Newspapers

Live: JPM Azindua kitabu cha Maisha ya Rais Mkapa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Novemba 12, anashiriki hafla ya uzinduzi rasmi wa kitabu cha Historia ya maisha ya Mhe. Benjamin William Mkapa Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam.Kitabu kianitwa “MY LIFE MY PURPOSE”.

 

Comments are closed.