Live: Rais Magufuli Anazindua Mradi Wa Maji Wa Ziwa Victoria Kwenda Nzega, Tabora…
RAIS Dkt John Magufuli, leo Januari 30. amewasili mkoani Tabora kuendelea na ziara zake za kikazi nchini ambapo amezindua mradi wa maji wa ziwa Victoria kwenda Nzega, Tabora na Igunga.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx