The House of Favourite Newspapers

Kauli ya Rais Magufuli Kwenye Uzinduzi wa Maonyesho ya Sabasaba

0

RAIS MAGUFULI AKIZINDUA MAONYESHO HAYO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua rasmi Maonyesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Maonyesho ya Sabasaba, hafla ambayo imefanyika katika jijini Dar.

Katika uzinduzi huo, haya ndiyo yaliyojili;


SABASABA 2017: Rais Magufuli ametoa tuzo kwa makampuni washindi wa Tuzo za Maonyesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) jijini Dar. http://bit.ly/2sbXBFc

 

 

Leave A Reply