Live: Rais Mwinyi Katika Mashindano Ya Quraan Tukufu Zanzibar..
RAIS wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi, leo Aprili 24, amehudhuria akiwa mgeni rasmi kwenye mashindano ya kuhifadhi Quraan Tukufu Zanzibar, kwa jumuiya ya Afrika Mashariki.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx