The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Awasili Uganda Kwa Ziara Ya Kikazi Ya Siku Moja (Picha +Video)

0

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Mhe Sam Kutesa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe alipowasili nchini Uganda kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumapili Aprili 11, 2021

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Uganda leo tarehe 11 Aprili, 2021 kwenda nchini Uganda kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Vilevile, watahudhuria hafla ya utiaji saini Mkataba kati ya Serikali ya Uganda na Kampuni ya Mafuta ghafi ya Afrika Mashariki (EACOP) juu ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima (Uganda) kwenda Tanga (Tanzania)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Mhe Sam Kutesa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe alipowasili nchini Uganda kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumapili Aprili 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Mawaziri wa Tanzania katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe alipowasili nchini Uganda kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumapili Aprili 11, 2021

 

 

Leave A Reply