The House of Favourite Newspapers

Sara Simbaulanga: Mwanamke Aliyeiba Mamilioni Benki Nbc Akanaswa, Aanika Ilivyokuwa..

0


Sarah Simbaulanga ni mwanamke aliyewahi kuwa gumzo ndani na nje ya nchi kutokana na kushiriki kwenye tukio la wizi wa mamilioni ya fedha katika Benki ya NBC jijini Dar es Salaam. Kupitia Global TV Online mwanamama huyo amefunguka kila kitu kuhusu tukio hilo na maisha yake baaa ya tukio.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply