The House of Favourite Newspapers

LIVE: Sherehe ya Ndoa ya Shilole Usiku Huu (Pichaz na Video)

Ashraf Uchebe akimvalisha pete ya ndoa mke wake Shilole.
Wakifanya yao.
Wakikumbatiana.

Hatimaye msanii wa Bongo Fleva, Shilole amefungua ndoa na mpenzi wake Ashraf Uchebe huko Masaki usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam. Staa huyo alikuwa akisisitiza kufunga ndoa mwaka huu lakini watu walikuwa wakichukulia poa kwa sababu si mara ya kwanza kutoa kauli kama hiyo lakini jana Desemba 6 akafanya kweli.

 

Comments are closed.