The House of Favourite Newspapers

Video: Silaha Za Kivita Zilitumika Kumshambulia Mbunge Ole Sendeka /Mrithi Wa Makonda Ccm Huyu Hapa

0


Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka kwa mara ya kwanza amezungumza na wananchi wa jimbo lake baada ya kushambuliwa kwa risasi akiwa kwenye gari lake.

Ole Sendeka akizungumza mji mdogo wa Orkesumet leo Jumatatu ya Aprili mosi 2024 amesema alishambuliwa na silaha mbili ambazo ni za kijeshi.
Amesema kwenye eneo la tukio wameokota maganda 15 ya risasi za jeshi na kwenye lake ziliingia risasi nne.

Leave A Reply