The House of Favourite Newspapers

Video: Simba 0-1 Yanga – Derby Ya Kariakoo, Uwanja Wa Mkapa

0

NI mtanange wa Dakika 90 wa kukata na shoka kati ya SIMBA vs YANGA, unachezwa leo Julai 03, katika uwanja wa Mkapa jijini Dar.

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika Yanga wapo mbele kwa bao 1-0 dhidi ya Simba lililowekwa wavuni na Zawadi Mauya dakika ya 12.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply