The House of Favourite Newspapers

LIVE: SPOTI HAUSI ALIYELETWA NA YANGA NCHINI ALICHEZA NA SAMATTA

LEO kipindi bora cha michezo Spoti Hausi kitakuwa hewani kuanzia saa 10:00, wachambuzi wako leo watakuwa na mchezaji raia wa Tanzania anayecheza nchini Kenya, atafunguka mengi, kwanini haitwi timu ya taifa?

 

Lakini pia atajibu tuhuma zinazozagaa kuwa ameletwa nchini na Yanga. Mchezaji huyo ambaye aliwahi kucheza na Mbwana Samatta amesema ndiye aliyemshauri hadi kufikia hapa alipo. Pia watachambua mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Real Madrid na Liverpool.

Comments are closed.