The House of Favourite Newspapers

FT: Simba 2-1 African Lyon Uwanja wa Taifa

0
Wachezaji wa timu ya Simba wakipongezana.

Mpira Umemalizika, Simba wanachukua pointi zote tatu.

Dakika ya 90: Mashabiki wa Simba wanashangilia lakini bado mchezo haujamalizika.

Dakika ya 84: Kasi ya Simba imepungua kiasi.

Dakika ya 84: Simba wamepunguza kasi na Lyona wanasoga kwenye lango la Simba mara kadhaa.

Dakika ya 84: Simba wamepunguza kasi na Lyona wanasoga kwenye lango la Simba mara kadhaa.

Dakika ya 77: Thomas Morris wa Lyon anapata kadi ya njano, analalamika kuwa hakufanya kosa lakini mchezo unaendelea.

Dakika ya 75: Simba wanafanya shambulizi kali, inapata kona.

Dakika ya 70: Kocha wa Simba, Omog anapata mizuka anasogea hadi kwenye uwanja, mwamuzi wa akiba anamfuata kumtoa kumrejesha kwenye nafasi yake.

Dakika ya 65: Simba wanafanya mabadiliko, anatoka Mohamed Ibrahim anaingia Juma Luizio.

Dakika ya 64: Lyon wanafanya mabadiliko, anaingia Abdallah Mgui anatoka Kibingu.

Dakika ya 62: Kichuya anashindwa kuendelea kucheza, anatolewa na nafasi yake inachukuliwa na Mwinyi Kazimoto.

Dakika ya 61: Kichuya anachezewa faulo, yupo chini anatibiwa.

Dakika ya 56: Beki wa Lyon anajifunga akiwa katika harakati za kuondoa hatari langoni kwake.

Dakika ya 56: GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

Dakika ya 49: Simba wanafanya shambulizi kali, Mavugo anapata nafasi lakini shuti lake linapanguliwa na kipa wa Lyon, onakuwa kona am bayo haizai matunda.

Dakika ya 49: Simba wanafanya shambulizi kali, Mavugo anapata nafasi lakini shuti lake linapanguliwa na kipa wa Lyon, onakuwa kona am bayo haizai matunda.

Kikosi cha African Lyon.

Dakika ya 47: Beki wa Lyon anafanya makosa, Mohamed Ibrahim wa Simba anaunasa mpira lakini shuti lake linakosa nguvu na kudakwa na kipa wa Lyon.

Tayari mwamuzi karuhusu mchezo uanze.

Timu zimeingia uwanjani kwa ajili ya kipindi cha pili.

MAPUMZIKO

GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

Dakika ya 46: Simba wanafanya shambulizi kali, Ajibu anatoa pasi inayokosa mtu, inamkuta Kichuya ambaye naye anapiga kipa anadaka.

Dakika ya 45: Mwamuzi wa akiba anaonyesha dakika 4 za nyongeza.

Dakika ya 44: Ajibu anapata kadi ya njano kwa kucheza mchezo mbaya.

Kikosi cha Simba SC

Dakika ya 43: Ajibu anapata nafasi ya kufunga kipa anapangua shuti lake lakini mwamuzi anapuliza kipenga cha kuotea.

Dakika ya 42: Mchezo sasa umechangamka na Lyon wanaonekana kufunguka.

Dakika ya 37: Ibrahim Ajibu anaipatia Simba bao la kwanza kwa kupiga shuti la mbali kutoka nje ya eneo la 18 likajaa wavuni.

GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

Dakika ya 34: Kichuya anachezea madhambi na Omary Salum, mpira unasimama kwa mua Kichuya akitibiwa, mwamuzi anampa kadi ya njano Omar Salum.

Dakika ya 30: Mzamiru anaingia na mpira hadi eneo la Lyon lakini anapoteza mpira.

Dakika ya 24: Kichuya anaachia mashine kali inatoka nje ya lango la Lyon.

Dakika 15: Simba wanapata kona baada ya shambulizi walilofanya kutoka nje, Ajibu alishindwa kutumia nafasi vizuri.

Dakika ya 10: Timu zote zinashambuliana kwa zamu.

Dakika ya 5: Lyon wanafika kwenye lango la Simba lakini wanashindwa kutumia nafasi vizuri.

Mwamuzi anapuliza kipenga kuanza kwa mchezo huu wa Ligi Kuu ya Vodacom.

Kikosi cha simba kinachoanza dhidi ya African Lyon hii leo

1. Daniel Agyei

2. Besala Boukungu

3. Mohamed Zimbwe

4. James Kotei

5. Juuko Murshid

6. Jonas Mkude (Nahodha)

7. Shiza Kichuya

8. Mzamiru Yassin

9. Laudit Mavugo

10. Ibrahim Ajibu

11. Mohamed ibrahim

 

AKIBA

Manyika

Vincent

Novat

Kazimoto

Liuzio

Blagnon

Pastori

Leave A Reply