The House of Favourite Newspapers

Usikose Tamthilia ya Jumba la Dhahabu Leo Saa 12:30 Jioni- Global TV Online

0

TAMTHILIYA ya Jumba la Dhahabu ambayo iliibua hisia za watu wengi na kutokea kupendwa na kila rika ‘soon’ itaendelea kuonekana SEHEMU YA 4 kupitia Global TV Online ambapo itawapa nafasi wapenzi wa filamu kuburudika.

Thamthiliya hiyo ambayo ilibebwa na msanii Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ aliyekuwa akiigiza kama jini na wengine wakali ambao mpaka sasa wanafanya vizuri, inaoneshwa kila Jumamosi na Jumapili saa 12:30 jioni.

Katika tamthiliya hiyo wapo waigizaji nguli kama Vinita Omary, Winter, Niva, Nikita na wengineo hivyo kaa mkao wa kupata kile ambacho roho yako ilikimisi kwa muda mrefu.

USIKOSE KUTAZAMA JUMBA LA DHAHABU LEO SAA 12:30 JIONI ====> GLOBAL TV ONLINE

Leave A Reply