The House of Favourite Newspapers

BREAKING NEWS: Wasanii Waungana Kumsaka ROMA, Wakutana COCO Beach! (VIDEO)

WASANII wa muziki wa Bongo Fleva nchini kwa pamoja wameungana na kuviomba wameungana na kuviomba vyombo vya usalama nchini kufanya juhudi za kumtafuta msanii mwenzao ROMA Mkatoliki na wenzake wanaodaiwa kutekwa na kupelekwa kusikojulina.

Wasanii hao wametangaza kutumia Hashtag ya #AkinaRomaWakoWapi ili kupaza sauti zao kumtafuta Wasanii wenzao Roma Tongwe na Moni Awadh Central.

Rapa Fid Q amewataka Watanzania kuacha kuhusisha tukio la kukamatwa kwa ROMA na mambo ya kiasiasa na wasubiri hadi pale ukweli utakapojulika.

Comments are closed.