The House of Favourite Newspapers

Alichokisema Waziri Mahiga Mapokezi ya Waziri wa Uingereza

0

Waziri wa Nchi anayeshughulikia Masuala ya Afrika kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza, Mhe. Stewart Rory, amewasili nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ambapo amepokelewa na mwenyeji wake, Waziri wa Mambo ya Nje, Kikanda na Afrika Mashariki, Balozi Augustino Hahiga.

Katika mapokezi hayo, Balozi mahiga ameelezea kuhusu uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na serikali ya Uingereza na kueleza kwamba nchi hiyo, ndiyo inayoongoza kwa kuisaidia Tanzania katika masuala ya maendeleo.

Leave A Reply