The House of Favourite Newspapers

Yaliyojiri Dodoma Kwenye Sherehe za Miaka 53 ya Muungano wa Tanzania

0

LEO Aprili 26, 2017 ikiwa ni siku ambayo Tanzania inasherehekea miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Sherehe hizo zinafanyika Makao Makuu ya Nchi, mjini Dodoma ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.

Global TV Online inakuletea matangazo hayo moja kwa moja kutoka Dodoma.

Leave A Reply