The House of Favourite Newspapers

Liverpool Yaitesa Everton

0

Liverpool imefanikiwa kuibuka na ushindi wa 4-1 ugenini kwa mahasimu wao wa Everton katika mchezo wa ligi kuu ya kandanda nchini England.

Mabao ya Liverpool yamefungwa na nahodha Jordan Henderson, Mohamed Salah aliyefunga mara mbili pamoja na Diogo Jota.

Kipigo hicho kinamuweka katika wakati mgumu meneja wa Everton Rafa Benitez ambaye ameandamwa na mfululizo wa matokeo mabovu tangu achukue mikoba ya Carlo Ancellot kufundisha kikosi hicho.

Leave A Reply