The House of Favourite Newspapers

Luck: kuzaa hakujanipoteza kisanii

0

luckyNa Mwandishi Wetu
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Luckyness Mokiwa ‘Luck’ amefunguka kuwa mastaa wengi wamekuwa wakiogopa kuzaa kwa sababu ya kuhofia kupoteza soko lakini yeye anatofautiana nao kwani hajapotea na ‘soon’ anarudi mzigoni.

Luck alisema kabla ya kuanza kulea miezi michache iliyopita, alitoa kazi kadhaa kama No Stuck on You na Muhanga lakini amepumzika kidogo ili kujiweka sawa lakini tayari ameandaa filamu tatu atakazoanza kuzifanya miezi michache ijayo.

“Mimi sijapoteza soko, najiona bado niko fiti. Nimezaa na tayari nimeanza mikakati ya kufanya kazi mpya tatu kwa mpigo,” alisema Lucky

Leave A Reply