The House of Favourite Newspapers

Lulu Ni Mwanamke Wa Pekee

0

CEO wa Efm na TvE Bwana Francis Ciza maarufu kama”Majizo” amemwagia sifa kibao mama wa mtoto wake ambaye ni Elizabeth Michael maarufu kama “lulu” kuwa ndiye mwanamke sahihi kwenye maisha yake na alikua na ndoto yakuwa na mwanamke kama yeye.

“Kwenye makuzi yangu nimekua na wanawake kibao wa tofauti tofauti ila Elizabeth ni mwanamke wa tofauti ana roho safi na nilitamani sana kuwa na mwanamke kama yeye namshukuru MUNGU kwa kunipa yeye” amezungumza majizo

Leave A Reply