The House of Favourite Newspapers

Lyyn: Mimi kufulia? Watasubiri Sana!

0

VIDEO Vixen Bongo, Irene Louis ‘Lyyn’ amesema kuwa, watu wanaomuongelea vibaya na kusema kuwa yeye ni mdangaji na sasa hana pa kwenda kutokana na ugonjwa wa Corona, watasubiri sana!

 

Lyyn alisema kuwa, hawezi kuwanyamazisha wasiongee, lakini maneno yao ni kama dua la kuku, halimpati mwewe.

 

“Binadamu bwana sijui wakoje, eti wananiambia mimi mdangaji kipindi hiki mitoko ya kwenda nje haipo tena basi nitafulia, niwaambie tu watasubiri sana, sitegemei kudanga. Mimi nina mtu wangu maalum,” alisema Lyyn.

STORI:NEEMA ADRIAN, RISASI

Leave A Reply