The House of Favourite Newspapers

Maendeleo Bank Plc, Airtel Money na FSDT Waungana kuzindua Timiza Biashara

0
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Bi Beatrice Singano (kulia) akiongea na waandishi wa habari wakati wa kuzindua huduma ya Timiza Biashara kupitia Timiza vicoba inayowezeshwa na mtandao wa Airtel Money.
Mkurugenzi mtendaji wa Maendeleo Benki Plc Dkt Ibrahim Mwangalaba akiongea na waandishi wa habari wakati wa kuzindua huduma ya Timiza Biashara kupitia Timiza vicoba inayowezeshwa na mtandao wa Airtel Money kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Bi Beatrice Singano.
Mkurugenzi wa kitengo cha uwezeshaji  wa FSDT  Dkt. Peter Kingu (kulia) akizungumza.

 

Maendeleo Bank Plc leoimetangazakuunganana Airtel Money pamojana FSDT kwakuzinduakampeniya Timiza Biashara ambayoinalengakusaidiavikundividogovidogovyawajasiriamalimaarufukama Vicoba ilikuwezakuwekaakibapamojanakukopakwanjiayakidigitali (Kimtandao) zaidi.

 

MkurugenziMtendajiwa Maendeleo Benki Plc Dkt Ibrahim Mwangalaba alisema “kwakuunganana Airtel Money, BenkiyetuinayoFurahakuzinduasuluhishohili la Timiza Biashara inayowalengawajasiriamalinawafanyabiasharawadogonawakatihapanchini. ‘Hudumahiiimelengakutimizabiasharayakonakuletasuluhuyachangamotoambazozimekuwazikivipatavikundiwakatiwakuwekanakukopakatikamaeneombalimbaliwakatiinapokujasuala la kuwekaakibanakukopa”.

 

“TIMIZA BIASHARA kwakupitiahudumaya TIMIZA VICOBA

inayowezeshwanamtandaowa Airtel pekeekwasasainawawezeshawatejakuundakikundi cha watukuanzia 5 mpaka 50, kikundikinawezakuundwananawatukutokasehemuyoyote Tanzania nasiolazimawanakikundikuwaeneomojailikuwezakupatahudumahii.

 

Wanakikundiwanawezakuamuasikuganiwatawekaakibazao, mikopoitakuwayamudaganinawakatiganiwatakuwawanafanyamarejeshoyamikopoyao’, alisemaDkt. Mwangalaba hukuakiongezakuwa Timiza Vicoba nihudumainayotumiamfumowakidigitalikukuwezeshakuwekaakibanakukopakidigitali, mfumohuuunalenga Zaidi kuwawezeshawanakikundikuwezakuendeleanashughulizaohukuwakiwekaakibanakukopawakiwakwenyebiasharazao.

 

Tunawashukuru FSDT ambaowamedhaminikampenihiikwaniayakutoasuluhisho la changamotoyaupatikanajiwamitajikwawafanyabiasharanawajasiliamali. Kampeniya TIMIZA BIASHARA inayobebahudumaya TIMIZA VICOBA inawezeshaupatinakajiwamitajikwanjiayakidigitalihapanchini. Airtel Money niwashirikawetuwamudamrefunanimtandaompananchinikwakuwaunawafikiawatuwengihivyokufanyahudumayakifedhakwamtandaokupatikanakwaurahisibilahatakutembeleatawi la benki, aliongezaDkt. Mwangalaba.

 

Akizungumzakwenyeuzinduziwakampenihiyo, Mkurungenziwahudumaza Airtel Money Isack Nchunda alisema “Kampeniya TIMIZA BIASHARA inalengawajasiriamalinawanavikundiambaowataundakikundi cha watukatiya 5 na 50 nabaadayahapowanawezakuanzakuwekaakibanakukopakwakupitia TIMIZA VICOBA inayopatikana Airtel Money.

“Lengo la kuzinduakampenihiiya TIMIZA BIASHARA inayotangazahudumaya TIMIZA VICOBA nikuwajengeaWatanzaniatabiayakujiwekeaakibanasanasanakwawajasiriamalipamojanawafanyabiasharawadogo, tunalengakufikishahudumazakifedhakwaalisimia 80 yaWatanzaniaambaohawatumiihudumazakifedhakupitiabenki. ‘Tutakuwatukitoaelimukwawafanyabiasharawadogonawakatijuuyaumuhimuwakutumiamtandaokidigitalikwakuwekaakibanakukopa”, Nchunda aliongeza.

 

Kwa upande wake, Dkt. Peter KinguMkuuwakitengo cha uwezeshajiwawajasiliamalikutokataasisiya FSTD alisemakuwa, FSDT imekuwana agenda kubwayakutoasuluhishoyachangamotozahudumazakifedhahapanchininazaidikwaWatanzaniaambaohawajafikiwanahudumazakibenkikwamaeneoyavijijini.

TunaelewanikwajinsiganiWatanzaniawanavyopitiahatuandefuilikupatamkopokwenyetaasisizafedhahapanchini. Hatahivyo, ukiwana Timiza Vikoba,

unatakiwakuanzakujiwekeaakibakidogokidogokulingananauwezowako, halafuunaanzakukopakidigitalipasipokutembeleatawi la benki.

Kingualiongezakuwa “TIMIZA BIASHARA inalengakutoasuluhishoyachangamotoambazowajasiriamalinavikundividogovidogowanazopitiawakatiwakihitajimikopona pia kupanuawigowahudumazakifedhahapanchinikwamfumowakidigtali. Kwa sababuhizo, naombakutoa rai kwaWatanzaniawajasiriamali, wafanyabiasharawadogopamojanavikundivyavikobakutumiafursahiiya TIMIZA VICOBA ilikukuzabiasharazao”.

Leave A Reply