The House of Favourite Newspapers

MAFURIKO DAR! Hali Ilivyo JANGWANI – VIDEO

MVUA zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar es Salaam, zimesababisha madhara makubwa ikiwemo kuharibu mawasiliano katika maeneo ya Jangwani ambapo magari hayawezi kupita kwa muda kutokana na barabara kujaa maji.

 

Global TV imefika Jangwani kujionea hali halisi pamoja na kuzungumza na waathirika wa mvua hizo ambapo hali iliyopo hivi sasa ni kwamba watu wanatumia usafiri wa baiskeli aina ya ‘guta’ kuvuka na kulipishwa shilingi 1,000 kwa mtu.

 

TAZAMA HALI HIYO

Comments are closed.