The House of Favourite Newspapers

MAGUFULI AAGA MWILI WA MAKAMU MKUU WA UDOM

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akitia saini katika kitabu cha Maombelezo cha Marehemu Profesa Egid Beatus Mbofu aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) mara baada ya kuwasili Tabata Wilaya ya Ilala nyumbani kwa marehemu, aliyefariki dunia Desemba 18,2018 Nchini Afrika Kusini.

 

Magufuli akitoa heshima zake za mwisho kwa Marehemu Profesa Egid Beatus Mbofu.

 

Magufuli akitoa heshima zake za mwisho kwa Marehemu Profesa Egid Beatus Mbofu.

 

Rais Magufuli akimpa pole Bi. Joyce Chamhuro (Mke wa Marehemu) pamoja na familiya ya Marehemu Profesa Egid Beatus Mbofu.

 

Rais Magufuli akizungumza na Wafiwa na Waombolezaji wengine mara baada ya kutoa heshima za mwisho. 

 

RaisMagufuli akiagana na Wafanyakazi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) pamoja na Waombolezaji wengine mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Profesa Egid Beatus Mbofu. Picha na Ikulu.

Comments are closed.