The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Magufuli aapishwa rasmi

0

magufuliRais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDk. John Pombe Magufuli.

Hatimaye aliyekuwa Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli ameapishwa rasmi kuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Bi Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais,  hivi sasa katika sherehe zinazoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply