The House of Favourite Newspapers

MAGUFULI AMTUMBUA KIDATA, AMVUA UBALOZI

Rais Magufuli jana November 8, 2018 ametengua uteuzi na kumrejesha nchini aliekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Alphayo Japani Kidata. Uamuzi huu umeanza tarehe 5 November 2018 .Pia Kidata ameondolewa hadhi yake ya ubalozi.

RAIS Magufuli Amtumbua Balozi wa Tanzania Nchini Canada

Comments are closed.