The House of Favourite Newspapers

Magufuli azuru kaburi la Sokoine

0

magufuli (1)-001Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Pombe Magufuli akiweka shada kwenye kaburi la Waziri Mkuu wa zamani, Edward Moringe Sokoine, Monduli Juu.magufuli (2)-001 Mke wa Sokoine na binti yake (amabaye ni mgombea ubunge wa Jimbo la Monduli kwa tiketi ya CCM, Namelock Sokoine) wakiweka shada kwenye kaburi hilo.magufuli (3)-001Magufuli akicheza ngoma ya kabila la Kimasai.

PICHA: RICHARD BUKOS ALIYEKO MONDULI

Leave A Reply