The House of Favourite Newspapers

Mahakama Yaamgomea Lissu, Yaridhia Mtaturu Aapishwe – Video

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imeridhia Mbunge mteule wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Miraji Mtaturu kuapishwa bungeni leo Septemba 3, 2019 kuwa Mbunge wa Singida Mashariki.

 

Aidha, mahakama hiyo imesema kuwa maombi rasmi ya ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu kupinga baadhi ya mambo yatatolewa Septemba 9, 2019.

Comments are closed.