The House of Favourite Newspapers

Mahakama Yamfutia Pauline Gekul kesi ya unyanyasaji dhidi ya mfanyakazi wake

0

Mahakama ya Wilaya ya Babati imemfutia Pauline Gekul kesi ya unyanyasaji dhidi ya mfanyakazi wake, Hasim Ally.

Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati,Mkoani Manyara Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.

Kesi hiyo ilifunguliwa na Hashimu kupitia kwa wakili Peter Madeleka chini ya kifungu cha 128(2) na (4) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.

Leave A Reply