The House of Favourite Newspapers

Shinda Mkwanja wa Shilingi 200,000,000 Na Meridianbet Sikukuu Hii

0

Meridianbet wanaendelea kutoa mikwanja kipindi hichi cha sikukuu na usicheze nao mbali kwani michezo mbalimbali ikiendelea kupigwa katika ligi mbalimbali, Ndivyo nao wanahakikisha wewe unajipigia maokoto ya kutosha.

Kunako ligi kuu ya Uingereza leo kuna michezo kadhaa itakwenda kupigwa katika viwanja mbalimbali, Kwa mteja wa Meridianbet hii ni fursa ya kuendelea kupata shangwe la sikukuu kwani mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wameendelea kumwaga ODDS hivo maokoto ni ya kutosha.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Chelsea ikiwa haina mwenendo mzuri na kumbukumbu za kupoteza mchezo wao wa mwisho wa ligi kuu ya Uingereza siku ya Jumapili, Leo watashuka dimbani kuwakaribisha klabu ya Crystal Palace kuangalia uwezekano wa kupata matokeo ya ushindi ambayo wamekua hawayapati mara kwa mara.

Manchester City ambayo kwenye michezo yao sita ya mwisho katika ligi kuu  ya Uingereza wamepata ushindi katika mchezo mmoja pekee, Leo watakua katika dimba la Goodson’s Park kukipiga na klabu ya Everton ambayo wamekua kwenye kiwango bora siku za hivi karibuni.

Klabu ya Brentford leo watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Wolves katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza, Ikumbukwe Wolves walitoka kupata matokeo ya ushindi katika mchezo wao mwisho ya ligi kuu ya Uingereza waliokipiga dhidi ya klabu ya Chelsea katika dimba la Molineux.

Michezo yote inayokwenda kupigwa leo katika ligi kuu ya Uingereza imepewa ODDS KUBWA ambazo zitampata fursa mteja wa Meridianbet kuendelea kufurahia msimu huu wa sikukuu, Kwani ukiweka mkeka wako unajipigia mkwanja wa kutosha.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leave A Reply