The House of Favourite Newspapers

MAISHA Halisi ya Kichuya Bibi, Mama Wafunguka – Video

Kiungo Mshambuliaji wa Simba Shiza Ramdhani Kichuya amefunguka kuhusu Maisha yake halisi tangu amekua mpaka kufikia hapo alipofikia ikiwa Mlezi wake mkubwa akiwa ni Bibi yake.

 

Global TV Ilipata nafasi ya kumtembelea Kichuya hadi Nyumbani kwao Mjini Morogoro na kuongea nae maisha yake tangu amekua hadi sasa akikitumikia kikosi cha Simba.

 

VIDEO: MSIKIE KICHUYA AKIFUNGUKA MWENYE

Comments are closed.