The House of Favourite Newspapers

Majonzi: Mwili wa Mlinzi Aliyedaiwa Kuuawa na Polisi Waagwa – Video

0


Siku chache baada ya mlinzi wa Kampuni Binafsi ya Speed Security Guard, Akilwa Emanuel Mbise kudaiwa kupoteza maisha akiwa kwenye mikono ya Jeshi la Polisi, Kituo cha Urafiki jijini Dar es Salaam, leo Novemba 08, mwili huo umeagwa jijini Dar.

Leave A Reply