The House of Favourite Newspapers

Makamu Wa Pili Wa Rais Wa Zanzibar Afungua Mkutano Wa Bodi Ya GPE, Unguja

0
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ushirika wa Elimu Duniani (GPE) Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah kabla hajafungua rasmi mkutano wa Bodi hio katika hoteli ya Zanzibar Hyatt, Unguja, Desemba 6, 2023.

 

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah kabla amefungua rasmi mkutano wa Bodi hio katika hoteli ya Zanzibar Hyatt, Unguja, Desemba 6, 2023.

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah akiongea na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ushirika wa Elimu Duniani (GPE) Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Wake Bi Suzan Liautaud na Afisa Mtendaji Mkuu Laura Fringeti.
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ushirika wa Elimu Duniani (GPE) Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Wake Bi Suzan Liautaud na Afisa Mtendaji Mkuu Laura Fringeti akifungua rasmi mkutano wa Bodi hio katika hoteli ya Zanzibar Hyatt, Unguja,
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ushirika wa Elimu Duniani (GPE) Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah baada ya kufungua rasmi mkutano wa Bodi hio katika hoteli ya Zanzibar Hyatt, Unguja.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ushirika wa Elimu Duniani (GPE) Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akioingoza mkutano wa Bodi hio katika hoteli ya Zanzibar Hyatt, Unguja, .

Na Ofisi ya Rais Mstaafu

Leave A Reply