The House of Favourite Newspapers

Makamu wa Rais Amjulia Hali Kigwangalla, Muhimbili (Pichaz)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 7, Agosti 2018 amemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kingwangalla aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam ambapo alimjulia hali na kumpa pole kufuatia ajali ya gari aliyoipata Agosti 4,2018 huko Manyara.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali na kumpa pole Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam, baada ya kupata ajali ya gari Agosti 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Comments are closed.